Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, April 17, 2014

TAARIFA YA KUHAIRISHWA SHOW YA LEO YA SKYLIGHT PALE ESCAPE 1

picha na maktaba
 Wapenzi na wadau wote wa Bendi ya Skylight Tunawatangazia kuwa kutokana na msiba tulioupata jana wa Mwanamuziki wetu Chillchallsa tumehairisha show yetu ya ya leo pale Escape one ili kupisha shughuli za mazishi ya ya Mpendwa wetu.Msiba upo Mwananyamala B msikitini  nyumbani kwa marehemu.Asanteni

No comments:

Post a Comment