Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, April 4, 2014

TAZAMA VIDEO YA ALL STARS IN AFRICA AKIWEMO DIAMOND,AY,D-BANJ "Cocoa na Chocolate (Official Music Video) "

Ile video waliyorekodi wasanii 19 kutoka bara la Africa kwenye kampeni ya kuhamasisha kilimo imetoka. Angalia jinsi wasanii wengi kutoka nchi za Africa walivyojumuika pamoja kutengeneza video hii wakiwemo A.Y na Diamond. ITAZAME HAPO BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI

No comments:

Post a Comment