WAZIRI CHIKAWE,IGP MANGU WALA KIAPO KUTUMIKIA TUME YA UTUMISHI YA POLISI NA MAGEREZA
Jaji wa Mahakama kuu Mhe.Njengafibili Mwaikugile akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu katika ofisi za Mahakama kuu jijini Dar es Salaam wakati IGP alipokwenda kula kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza.Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mbarak Abdulwakil na kushoto ni DCI Issaya Mngulu (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)fWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe baada ya kula kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele yake jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw. Benedict Mwingiwa na IGP Ernest Mangu(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Issaya Mngulu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)Kamishna wa Utawala na Utumishi wa Jeshi la Polisi, Thobias Andengenye akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
KWA YANGA HII SIMBA IFUNGE NGUO ZIKAZE JUMAMOSI
-
Jumamosi, Machi 8, rekodi nyingine inakwenda kuandikwa katika mechi za
watani wa jadi kati ya Yanga na Simba, zitakapoumana katika mchezo wa Ligi
Kuu ya ...
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment