Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 1, 2014

Abiria wa Daladala ya Jangombe Wanusurika na ajali ya Moto.

 Gari ya daladala ya njia ya jangombe yenye namba za usajili Z 428 CL, ikitoka moshi mzito na huku abiria wake wakitoka katika gari imetokea hitilafu hiyo gari ikiwa katika mwendo na abiria wake kutoka salama.
Wananchi na baadhi ya abiria waliokuwemwe katika daladala ya njia ya jangombe akiangalia moto ulikotokea katika gari hiyo wakiwa ndani wakiendelea na safari yao wakitokea jangombe kwenda darajani. tukio hilo limetokea katika barabara ya rahaleo kwenye mkunazi, katika tukio hilo hakuwa abiria aliyejeruhiwa na wate wametoka salama. 
Baadhi ya abiria wa daladala hiyo wakiwa nje ya gari hiyo baada ya kufanikiwa kutoka salama bila ya madhara yoyote. wakifarijiwa na Wananchi waliofika kutoa msaada. 



No comments:

Post a Comment