Habari nilizozipata punde ni kwamba ustadh Ilunga Hassan
Kapungu muasisi wa maneno mfumo kristo Tanzania amefariki dunia kwa ugonjwa wa
kisukari na baadae figo zake kushindwa kufanya kazi.Ustadh Ilunga atazikwa Leo.
Innalilahi waina Ilaihi Rajiuun.
No comments:
Post a Comment