Hii ni Video ikionesha namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa..
Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM
Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na
Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji.
HABARI KWA HISANI YA MTANGAZAJI WA MBEYA FM STANSLAUS LAMBAT
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka |
Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia |
Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa
Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu
huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi
zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo.... Tazama Video Hii
No comments:
Post a Comment