Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, May 12, 2014

HATIMAYE MSANII MADEE AMALIZA UJENZI WA NYUMBA YAKE PICHA HIZI HAPA


Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa nyumba yake.
Madee ameaonesha picha ya nyumba yake kwa ndani ikiwa imekamilika na kuandika, “FINALLY. ..karibuni ikulu...#MBEZI# @babutale”

Katika hatua nyingine, msanii huyo yuko katika maandalizi ya kuachia wimbo mwingine na amewataka mashabiki wake kutabiri atakuwa ameimba kuhusu nini.

No comments:

Post a Comment