Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 16, 2014

HOT NEWSSS:::GARI NDOGO AINA YA RAV 4 YASABABISHA AJALI MBAYA NA KUPELEKEA DERAVA WA BODABODA NA ABIRIA WAKE KUUMIA VIBAYA SANA.


Ajali mbaya imetokea muda mchache uliopita katika lango Kuu la kuingilia katika Mahakama ya mjini Tabora. Ajali hiyo imehusisha Gari ndogo aina ya Rav 4 yenye usajili wa namba T516 ALA ambayo ilikuwa inaendeshwa na Mama mmoja aliye tambulika kwa jina la Stumai Tambwe ambapo ameigonga Bodaboda iliyokuwa na Abiria na kuwasababishia kuumia vibaya san, na baada ya hapo Gari hilo liligonga mti na kumsababishia kuumia vibaya.

Majeruhi wote wamekimbizwa Hospitali kwa ajili ya Matibabu zaidi na hali zao wote mpaka sasa ni mbaya. 
 Majeruhi wakipata Msaada baada ya ajali hiyo kutokea mapema leo
 Majeruhi akikimbizwa kwa ajili ya huduma ya kwanza

 Gari baada ya kugonga Bodaboda liligonga Mti na ndipo mama huyo aliumia vibaya.








 Picha na Tabora yetu Blog

No comments:

Post a Comment