Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma
Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika
wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI
jijini Dar es Salaam leo.Picha na Freddy Maro
RC PWANI AWATAKA WATENDAJI NA WAKUU WA USALAMA KUPAMBANA NA KERO ZA WANANCHI
-
NA VICTOR MASANGU,PWANI
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amewataka watendaji wa Kata pamoja
na wakuu wa usalaam wa Wilaya zote ndani ya Mkoa hu...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment