DJ Mafuvu, Joh Makini na Ben Pol katika jukwaa la Kili Music Tour Moshi kwa ajili ya sound check.
Eneo la uwanja wa ushirika likiwa tayari kabisa kupokea umati wa mashabiki watakaopewa show ya nguvu toka kwa wasaniii wakaliiiiiii
Hiiii ndio List ya wasaniii watakaopiga show ya kufa mtu leo ndani ya mji wa moshi
MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA DHARURA WA SADC
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini
Uganda...
4 hours ago




No comments:
Post a Comment