Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu zao la Zabibu wakati walipotembelea shamba lake lililopo Zuzu mjini Dodoma . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr.Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya British American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma .Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Afrika mashariki, Ernest Leroux, Watatu kulia ni Mkurugenzi wa Afrika ya Mashariki na kati, Jerry Gilbert na kushoto ni Connie Anyika. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Montage, Teddy Mapunda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment