MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
NBAA yawanoa watumishi wa NAOT Dodoma
-
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inaendesha
warsha ya mafunzo ya siku tano kwa watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi
(NAO...
23 minutes ago
No comments:
Post a Comment