![]() |
Video ya ngoma mpya ya TID aliyomshirikisha JULIO wa bigbrother season 7, ngoma iliyotayarishwa na mkongwe wa kutengeneza video L-BASHIR Kutoka Uganda na Ngoma kutayarishwa na LAMAR kutoka Tanzania |
UKWELI KUHUSU UMEME KUTOKA KENYA
-
Baada ya kauli ya Rais Samia ya kununua umeme kutoka Kenya, kumeibuka
mjadala mkali.
Nimemtafuta mtaalamu serikalini afafanue. Naye ameniambia hivi: Unu...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment