Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 16, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA( ICAO) WAKATI ALIPOMKARIBISHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

14Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe  akionge na  Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin  baada ya kutembelea katika  ofisi za wizara ya uchukuzi  jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Shirika la Usafiri wa Anga( ICAO) yupo nchini  kwa Ziara ya kikazi  kuanzaia Tarehe 14 hadi 18 mei 2014.
15,Rais  Jakaya Kikwete akimkaribisha  Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin  Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi.
17,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014.

 
21Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na Katibu  Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014.Kushoto ni Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe, pamoja na viongozi wakuu wa TCAA.
22Rais Jakaya Kikwete akiagana na mgeni wake Katibu  Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin, baada ya kumalizika kwa maongezi yao ya kikazi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment