Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, May 13, 2014

Rais Kikwete Akiwa na Mkuu wa UNDP Bibi Hellen Clark,Ikulu jijini Dar-es-Salaam.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark aliyemtembelea leo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza baada ya  mazungumzo Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark aliyemtembelea leo 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya ukumbusho na  na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark na ujumbe wake aliyemtembelea leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment