Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho na kufariji familia ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini marehemu Arthur Mwakapugi huko nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.Mwakapugi ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 64 alitumikia taifa kwa miaka 30 mfululizo katika nafasi mbalimbali.Marehemu baadaye alisafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwake Ilundo wilaya ya Tukuyu(picha na Freddy Maro).
VIVUKO MAFIA VYASIMAMA SIKU 18 SASA, SERIKALI KUUNDA TIMU ILI KUPATA SULUHU
YA KUDUMU
-
Na Mwamvua Mwinyi,Mafia
SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi
na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayo...
5 minutes ago
No comments:
Post a Comment