Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 2, 2014

Rais Kikwete: UKAWA wameenda likizo natumaini watarejea baada ya likizo


m11Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI)  Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaamAkihutubia wafanyakazi  waliojitokeza kwenye sherehe za Mei Mosi leo uwanja wa Uhuru, JK ameendelea kuonyesha kama ajali nguvu ya ukawa nje ya Bunge la katiba. Ameendelea kudhani kuwa UKAWA wanafanya utani, "Nadhani wenzetu wametoka na kwenda likizo kidogo, na wakishapumzika watarejea na kuendelea na bunge

No comments:

Post a Comment