Sam Mapenzi akiliazisha Taratibuuuuu ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita
Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village
Anaitwa Donode(mzee wa viduku)akiimba kwa Hisia kaliiiii kabisaaa ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaaa iliyopita ili kuwapa ile kitu roho inapenda mashabiki wao.
Toka kushoto Digna mpera akimpa sapoti ya nguvu kijana machachariiiiii anayejulikana kwa jina la Donode wakati akirusha vocal kaliiiii kwa hisia ndani ya kiwanja cha Thai Village
Maua mazuriiiii ya Skylight Band kutoka kushoto ni Aneth Kushaba(Ak 47)na Digna Mpera wakipata ukodak kwa pozi la nguvuuuuuuu
Wanaume wa shoka wa Skylight Band kutoka kushoto ni Daudi tumba,Joniko Flower,Sony Masamba,Sam Mapenzi na mpiga gita mahiri Allen Kiso wakitoa burudani la nguvu ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaa Iliyopita
Acha kabisaaaa usipime kwa mziki wetu huuu mzuriii,Hapo ni Aneth kushaba mwenye nywele nyekundu akiongoza kikosi chake kutoa burudani za ukweliiiii ndani ya Thai Village
Paaaaa paaaaaa paaaapaaaaa cheza chezaaaa hapo ni kikosi cha Skylight Band wakiangusha burudani la nguvuuuu Ndani ya Thai village
Sony Masamba akiwapeleka puta mashabiki wake ndani ya Thai village Ijumaa iliyopita akipewa sapoti ya karibu na Sam Mapenzi
Haya sasaaaa twendeeee twendeeeee kiuno chako mwenyeweeeee hapo ni Joniko Flower akiongoza kikosi cha Skylight Band akifutaiwa na Aneth Kushaba
Weweeeeeeee usicheze kabisa na Winfrida Richard unaona mauno hayo anayompa Kijana Donodeeee
Hayaaaa kama kawaida ya Bendi ya Skylight inavyowapenda na kuwajali wapenzi wake hapa dada huyu alipewa nafasi ya kufungua shampeni na kusheherekea siku yake ya kuzaliwaaa
Hahahahaha Dohhhh mvua ya kuogeshwa na shampeni ikaaanzaaaaa mwaaaamwaaaa mwaaaa mpaka raha sanaaaa hiii ndio Skylight Band bwanaaaaa
Mamaaaaa weeeeee umeona viuno nyorotiiiiiii ivoooo?sasa hao ni mashabiki wa Skylight Band wakiyarudi mauno kwa burudani Tamuuuuu zinazotolewa ndani Ya Thai Village kila Ijumaaaaaa
Aneth Kushaba(Ak 47) akiwaimbishaaa mashabiki wake hawapo pichaniii ndani ya Thai Village
Allen Kiso wapelekeeeeee wapelekeeeeee babaaaaaa huyu ni mpiga Gita machachariiii wa Skylight Band akionyesha maujuziii yake
Weeeeeee Hapanaaaa chezeaaa Joniko Flowerrrrr unaona Maunooooo hayooooooo
Digna Mperaa akipewa Love ya kutosha toka kwa shabiki huyu aliyemkuna kwa Vocal kaliiiiii alizokuwaaa akizitoaaaaa
Hapooooo sasa wadada wazuriiiiii wakichezaaaaa staili mpya na maarufu hapa mjini ijulikanayo kama kikuku,unaona rahaaaa hizoooo usikoseee ijumaa hiii
Aneth Kushaba akiiimba kwa furaha kabisa baada ya kuona mashabiki wake wanafurahia kile wanachopewa na Band yao kali na ya kijanja ndani ya kiwanja cha Thai Village
Kwa rahaaaaaa zao mashabiki hawa wakiburudikaaaaaaaa
Nyomiiiiii la kutoshaaaaaaa ndani ya Thai Villageee usikose ijumaaaa Hiiii
Rais Samia akutana na kuzungumza na Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es
Salaam
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amekutana na kuzungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi.
Susan Nam...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment