Gwamaka Mwamakula Muhitimu Kutoka Wa Mwaka 2011 Kozi ya ADIT Chuo cha Uhasibu Arusha Amefariki katika Ajali ya Gari.MarehemuAlikuwa Kikazi Mkoani Manyara Wakati akiwa njiani Kurudi Nyumbani Ndipo alipogongwa na Gari aina ya Fuso na Kufariki hapohapo.Mazishi yatafanyika Dar.Taratibu za Kusafirisha Mwili Zinaendelea kwa taarifa zaidi Tutaendelea kuwaletea kinachojiri na Ratiba ya Mazishi.
Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi Amen
No comments:
Post a Comment