Katika hali isiyokuwa kawaida train ya abiria ilokuwa imeanza safari yake saa nane kasoro mchana wa leo kutoka jijini kuelekea mkoani Mbeya imelazamika kugeuzia njiani kurudi pale kituoni TAZARA na itaendelea na safari saa kumi na moja na nusu jioni ya leo.
Sababu waloelezwa abiria inaitwa (SABABU ISIYOZUILIKA).
Wote mlowasindikiza ndugu jamaa na marafiki jueni kwamba bado wapo hapa hapa jijini Dar mpaka sababu hiyo itapotengamaa.
Pia wadau msishangae siku utapoenda pale TAZARA kumpokea mgeni wako itakubidi ulipe kiingilio cha shilingi elfu moja.
Kiasi hiki kipya kimepandishwa baada ya kile cha mia 5 cha awali.Kiwango hiki ni kikubwa sana kwa watu wa maisha ya chini wanaokuja kupokea ndugu zao.
Mradi wa PACSMAC Wabainisha Suluhisho la Changamoto za Tabianchi kwenye zao
la Kahawa
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Serikali imejipanga kuwezesha upatikanaji wa maji kwa ajili ya kilimo cha
umwagiliaji katika zao la kahawa, kwa lengo la ku...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment