TUNAOMBA RADHI KWA PICHA:::ALBINO AUAWA KINYAMA SIMIYU,AKATWA VIDOLE NA MGUU
MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake
kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko
Bariadi mkoani Simiyu.
Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu
wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana.
Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.
RAIS MAGUFULI NA HISTORIA ISIYOFUTIKA
-
Na Emmanuel J. Shilatu
Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius
Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhur...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment