Gari hilo likiwa eneo la tukio baada ya kuangua na kuharibika vibayaGari la Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja, yenye namba T 862 BBC aina ya JEEP, imepata ajali mchana huu katika maeneo ya Nyasubi Kahama, kwenye barabara kuu iendayo nchi jirani za Rwanda na Burundi.
Magazetini Leo Januari 18, 2025; Sababu Vijana Kufanya Vurugu Msibani
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
7 hours ago






No comments:
Post a Comment