Huyu jamaaa kama amekata tamaaa vile anaona dahhhh tumekuja kwenye usaili au kuangalia mpira?wanaajiriwa watu 70 tunaitwa watu 20000
Wasailiwa wa nafasi mbali mbali wakiingia ndani ya uwanja wa Taifa
Wasiliwa wakikaa kusubili nini kitakachoendelea baada ya kuingia ndani ya uwanja wa Taifa
Picha hizo hapo juu ni maelfu ya Vijana ambao wamefika kwenye usaili leo jijini Dar kwa ajili ya kujaza nafasi mbali mbali kwenye idara ya uhamiaji.Kwa kuangalia tu picha inadhihirisha ni kwa kiasi gani vijana wengi wapo mtaani na wamesoma.Je serikali ina mpango gani wa kusaidia vijana wa Taifa hili ambao wana elimu lakini wamekosa nafasi ya kuajiriwa,sawa wengine watasema ujiajiri,Je?uunaweza kujiajiri bila kuwa na kipato au kianzio?Tanzania nchi Yangu nakupenda sana..................
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
-
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara
rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26
nc...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment