Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka huu. Sikiliza habari kamili hapa chini kwa kubofya play.
DKT.NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOANI DODOMA
-
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM)
ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ...
1 day ago


No comments:
Post a Comment