Wakazi wa Kahama wanajiandaa kushuhudia show ya wakali wa
muziki nchini iliyosogezwa na Bia ya Kilimanjaro ikiwa ni jitihada za
kuhakikisha burudani inawafikia Watanzania pale walipo ikiwa ni baada ya
kumalizika kwa tuzo za Muziki nchini na washindi kujulikana.Wakati wakazi wa
Kahama wakisubiria kwa hamu wakati ufike waende uwanjani, tayari maandalizi
yako katika hatua za mwishoni ambapo Jukwaa tayari limewekwa uwanjani na
kampuni ya Integrated Communications na wasanii kufanya majaribio ya sauti na
muziki chini ya usimamizi wa kampuni ya Executive Solutions huku timu ya East
Africa TV ikiweka sawa camera na vifaa vya muziki jukwaani kwa ajili ya
kuchukua tukio zima.
Hizi ni baadhi ya picha toka Kahama
Magari ya matangazo nje ya uwanja
Bia zitakazogawiwa kwa watakaolipa kiingilio cha 2500
Sekta ya maakuli na vinywaji
Nyamachoma ikiandaliwa kwa ajili ya watakahudhuria uwanjani
Muonekano wa jukwaa litakalotumika
Mahali ambapo muziki wote wakati wa show unasimamiwa
Hii ndio backstage itakayotumiwa na wasanii Kahama
DJ Mackay na Dulla jukwaani kusubiria zoezi la majaribio ya
sauti
Mwana FA akisubiri kufanya majaribio ya sauti
Rich Mavoko
AY Akijaribu MIC
Rich mavoko naye akijaribu sound
Shilole akimpa maelekezo Dj mackay

















No comments:
Post a Comment