Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro
,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo
imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
KIA. |
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akiwaonesha waandishi wa habari(hawako pichani)moja ya mikoba iliyotumika kufichia dawa za kulevya kwa ustadi mkubwa. |
Dawa za Kulevya ambazo hazijafahamika ni aina gani zikiwa katika mifuko maalumu. |
No comments:
Post a Comment