Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa mkoani Njombe ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata wa CCM kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa na viongozi wa wilaya wa chama hicho ambao leo Juni 16, 2014 wanahitimisha ziara ya siku nne ya mafunzo mjini Dodoma na Dar es Salaam. Wajumbe hao pamoja na Mbunge wa jimbo la Ludewa Mhe Deo Filikunjombe walifika Ikulu kumtembelea Rais. (Picha na Ikulu)
DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KAMPASI YA LINDI YA UDSM
-
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa
Kampasi ya Lindi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika eneo la Ngongo
mkoani Lindi na...
4 hours ago


No comments:
Post a Comment