Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 4, 2014

STRAIKA RICKIE LAMBERT ASAINI MIAKA 2 LIVERPOOL

Rickie Lambert akisaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Liverpool.
Lambert akifanyiwa vipimo katika klabu ya Liverpool.
Rickie Lambert akiwa ndani ya uzi wa Liverpool.
STRAIKA wa Southampton na timu ya Taifa ya England, Rickie Lambert amejiunga rasmi na Liverpool kwa ada ya pauni milioni nne kwa mkataba wa miaka miwili.


Lambert aliondoka katika academy ya Liverpool akiwa na umri wa miaka 15 na sasa amerejea baada ya mika 17 akiwa na umri wa miaka 32. Straika huyo katika mechi 75 alizoichezea Southampton alitupia mabao 28.

No comments:

Post a Comment