Kuanzia Jana Majira ya Asubuhi Watu wasiofahamika Wali-hack Account Yangu hii ya Facebook na Email Zangu.
Wametumia Account Zangu Kutangaza UTAPELI wao kuhusu Kitu Kinachoitwa VICOBA TANZANIA.
Nakanusha,Sifahamu Kuhusu Vicoba Tanzania,Sihusiki na Kitu hicho,Sina
Uhusiano Wowote na Mtu Yeyote au Taasisi Inayoitwa VICOBA Tanzania.
Kwa maana hiyo Utapeli wowote Unaotumika kupitia Jina langu kwa hao VICOBA TANZANIA sihusiki.
Nawasihi Watanzania Kuwa Makini na Mitandao hii ya Kijamii,Wizi na
Utapeli Kupitia Mitandoa ya Kijamiii Umeongezeka Sana.Tafadhali Kuweni
Makini.
Aidha napenda Kuujulisha Umma kuwa Hatua za Kiusalama zimeshaanza Kuchukuliwa dhidi ya Watu hao,tunaomba Mtuunge Mkono.
Poleni na Asanteni.
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AFANYA ZIARA WILAYANI MONDULI KUONGEA NA VIONGOZI
WA JAMII YA WAFUGAJI
-
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Dkt Stergomena Tax (Mb)
amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, na kufanya
m...
23 minutes ago
No comments:
Post a Comment