Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 18, 2014

TAZAMA PICHA ZA NYOTA WA BRAZIL NEYMAR AKILIA WAKATI WIMBO WA TAIFA UKIPIGWA BAADA YA KUPATA HISIA KALI


Beki wa zamani wa  Chelsea , David Luiz akiimba kwa hisia kali wimbo wa taifa wa Brazil 


Wimbo wa Taifa ulimfanya Neymar amwage machozi


Tabasamu mwanana!:  Hawa ni mashabiki wa Brazil wakitazama mechi dhidi ya Mexico



Mashabiki wa Brazil wakiwa mjini Fortaleza kwenye mchezo dhidi ya Mexico

No comments:

Post a Comment