Aisha bui kawa gumzo kwa muda mfupi tangu
arudi kwenye game na filamu yake ya mshale wa kifo anasema namshukuru mungu na
mashabiki kwa kunipokea vizuri,Na amewahaidi kuendelea kutoa Filamu kali na zenye maadili na kuelimisha Jamii.
NBAA YASHIRIKI MAONESHO YA 50 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA SABASABA 2026
-
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inashiriki
Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 50 yanayoendelea kwenye Viwanja vya
Sabasab...
3 hours ago


No comments:
Post a Comment