ATHUMANI CHUJI ATUA AZAM,TAZAMA PICHA ZAKE AKIPIGA JARAMBA
Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi ‘Chuji’ akiwa
mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa
Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment