Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 10, 2014

BREAKING NEWZ: BASI LA FB LAPATA JALI LAJERUHI 42 na 21 Wako kwenye Hali Mbaya

Photo: Basi la SB lilolotoka Nachingwea leo lapata ajali Mchinga wengi wajeruhiwa:Taarifa na Abdulazziz Ahmeid -LINDI
Watu 42 wamejeruhiwa,21 kati yao wakiwa na hali mbaya,baada ya basi la kampuni ya SB lililokuwa linatokea Mtwara kwenda Dar es salaam kupata ajali eneo la Mchinga-Lindi.

No comments:

Post a Comment