DIAMOND ASEMA
"Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na
Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na
Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa
Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it
Hommies!!!!!
http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
No comments:
Post a Comment