Mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyinn leo kupitia
ukurasa wake INSTAGRAM amshea nasi picha hizi na video clip akiwa na watoto
wake mapacha....!!!!! ITS ALL ABOUT GOOD LIFE MAZEEE!!!!
KURUI ,KISARAWE KUMEKUCHA 'JAFO CUP'
-
Na Khadija Kalili Michuzi Tv
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana zimetoka sare ya goli moja moja
ikiwa ni katika hatua ya kuwania kucheza mechi...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment