Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 21, 2014

EVRA AENDA JUVENTUS

 Patrice Evra amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United kwenda Juventus. Beki huyo wa kushoto kutoka Ufaransa amekaa Old Trafford tangu mwaka 2006. Manchester United ime tweet ikisema: Patrice Evra ameondoka mufc kujiunga na Juventus. Kila mmoja katika klabu hii anamshukuru kwa miaka yake mingi ya huduma bora aliyotoa."

No comments:

Post a Comment