Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 17, 2014

HOT NEWSSS::NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA YADONDOKA IKIWA NA ABIRIA 295,PICHA ZOTE ZIKO HAPA

 Vifaaa vinavyodaiwa kuitungua ndege iyo



 Shirika la ndege ya Malaysia limethibitisha kupoteza mawasiliano na ndege yake namba MH17 iliyokuwa ikitokea Amsterdam, Uholanzi kuelekea Kuala Lumpur. Malaysia Airlines imethibitisha taarifa hizo kupitia akaunti yake rasmi ya twitter. Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 295. Taarifa kutoka Moscow zinasema ndege hiyo imepatikana ikiwa imeanguka na inawaka moto mashariki mwa Ukraine

No comments:

Post a Comment