Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu
kufanya mazoezi katika mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu ya Azam
Fc, wakati walipotembelea Gym hiyo kujionea leo baada ya hafla ya uzinduzi wa
Msikiti wa ‘Masjidil Huda’, kwenye Uwanja wa Chamazi, jijini Dar es Salaam, leo
Julai 4, 2014. Picha na OMR
Mkurugenzi wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili
kulia) akitoa maelezo kwa viongozi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan
Mwinyi, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa Makampuni ya
SSB, Said Salim Bakhresa, wakati walipokuwa wakitembelea kujionea Uwanja wa
Azam Complex, unaomilikiwa na timu ya Azam Fc, leo Chamazi. Picha na OMR
Wakitembelea Uwanja wa Chamazi, kujionea maendeleo ya timu
ya Azam Fc , leo. Picha na OMR
Mkurugenzi wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (kulia) akitoa
maelezo kwa viongozi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati walipokuwa wakitembelea kujionea
Uwanja Gym ya mazoezi ya timu ya Azam Fc iliyopo kwenye Uwanja wa Azam Complex,
unaomilikiwa na timu ya hiyo, leo Chamazi. Picha na OMR
Mkurugenzi wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili
kulia) akitoa maelezo kwa viongozi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan
Mwinyi, wakati walipokuwa wakitembelea
kujionea Uwanja Gym ya mazoezi ya timu ya Azam Fc iliyopo kwenye Uwanja wa Azam
Complex, unaomilikiwa na timu ya hiyo, leo Chamazi. Picha na OMR
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akijaribu kufanya
zoezi katika moja ya mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu ya Aazam
Fc, kwenye Uwanja wa Chamazi Complex, wakati walipotembelea Gym hiyo leo. Picha
na OMR
No comments:
Post a Comment