Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kukabidhi mashine ya kufulia nguo za wagonjwa katika Hospitali ya Kisarawe mkoani Pwani, iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum, Zainabu Matitu Vullu
Mbunge wa Viti maalu mkoani wa Pwania Zainab Matitu Vullu akizungumza wakati wa kukabidhi mashine ya kufulia nguo za wagonjwa, mashuka na mipira ya Baiskeli kwa hospitali hiyo
Mbunge wa Viti maalu mkoani wa Pwania Zainab Matitu Vullu akizungumza wakati wa kukabidhi mashine ya kufulia nguo za wagonjwa, mashuka na mipira ya Baiskeli kwa hospitali hiyo
Mkuu wa Wialya ya Kisarawe, Fatuma Kimario akimkabidhi karatasi yenye maelezo ya mashine ya kufuria nguo, Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Kissamo Minja, baada ya Mbunge wa viti maalum, Zainab Vulu kukabidhi mashine hiyo kwa hospitali ya Kisarawe ambayo ilikuwa haina mashine hiyo kwa muda wa miaka 15. Kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dk.Happines Ndossi
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe,Dk. Happiness Ndossi akionyesha moja ya shuka zilizotolewa na Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Pwani, Zainabui Matiti Vullu kwa ajili ya Hospitali ya Kisarawe pamoja na mashine mpya ya kufulia nguo za wagonjwa na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya kubebea wagonjwa
Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Pwani, Zainabu Matitu Vullu katikati) akimkabidhi, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawwe, Fatuma Kimario (kushoto) Mashine ya kufulia nguo za wagonjwa,mashuka na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya Hospitali hiyo wakati wa hafla iliyofanyika juzi katika Hospitali hiyo. Kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo,Dk. Happiness Ndossi.
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Pwani, Zainabu Matitu Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani,Dk. Happiness Ndossi baada ya kukabidhi mashine ya kufuria nguo za wagonjwa, Mashuka,pamoja na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya Hospitali hiyo vyote vikiwa na gharama ya Shilingi Milioni Sita na laki
tano
No comments:
Post a Comment