Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 10, 2014

MWILI WA MAREHEMU EMMANUEL JOSEPH MBUZA WAAGWA KIBAHA NA KUSAFIRISHWA KUELEKEA MBEYA,RATIBA YA MAZISHI YATOLEWA




RATIBA
Kesho kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 3:00 asubuhi mwili wa marehemu Emmanuel Joseph Mbuza utakuwa ukiagwa ulipo msiba hivi sasa maeneo ya Ilemi-Juhudi.
Kuanzia saa 6:00 mchana msiba utahamia Kalobe nyumbani kwao marehemu ambako shughuli nyingine za msiba ikiwa ni pamoja na kuuaga mwili wa marehemu, ndugu Emmanuel Joseph Mbuza kwa mara ya mwisho na baadae mazishi yatafanyika huko.
Tutaendelea kukupa taarifa juu ya taratibu nyingine zitakazo endelea...


No comments:

Post a Comment