Waziri wa mambo ya ndani ya nchi
Mathias Chikawe
akiwa anafunga mkutano wa wafanyakazi wa mamlaka ya vitambulisho vya
taifa uliokuwa unafanyika ndani ya hotel ya snowcrest jiji
Arusha
washiriki katika mkutano
wa Wafanyakazi wa Mamlaka
ya vitambulisho vya taifa NIda wakiwa wanamsikiliza waziri wa mambo
ya ndani ya nchi kwa makini wakati akifunga mkutano wao katika hotel
ya snowcrest
waziri akiwa anapena mkono na mkurugenzi
mara baada ya kutoa risala ya kufunga mkutano
huo
Mkurugenzi wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) ,
Dickson Maimu akiwa anatoa shukurani kwa waziri kwa kuja kufunga
mkutano wao
washiriki katika mkutano wa Wafanyakazi wa
Mamlaka
ya vitambulisho vya taifa NIda wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni
rasmi waziri wa mambo ya nchi Mathias Chikawe nje ya
jengo la
hotel ya Snowcrest sehemu ambayo mkutano ulikuwa unafanyika
washiriki wakipongezana mara baada ya
waziri kufunga mkutano huo
washiriki wakiwa wanasikiliza kwa makini risala
ya mgeni Rasmi
No comments:
Post a Comment