Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 18, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA OFISI ZA TAKUKURU MKOA WA RUVUMA

1 (1)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu wakati wa ufunguzi  rasmi wa ofisi za taasisi ya kuzuia rushwa TAKUKURU mkoa mjini Songea leo.Kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi Mary Mosha.

2 (1) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jingo la ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Ruvuma leo mjini Songea.


 
3 (1)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na kaimu Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Bibi Mary Mosha wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa ufunguzi wa jingo la ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma leo.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi  ya wiki moja mkoani Ruvuma(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment