Mshambuliaji wa Ivory Coast Didier Drogba amesaini mkataba
wa mwaka mmoja kujiunga tena na Chelsea.
Drogba, 36, alishinda makombe 10 akiwa na Chelsea kuanzia
mwaka 2004 hadi 2012, na alikuwa mchezaji huru baada ya kuondoka klabu ya
Galatasaray ya Uturuki.
No comments:
Post a Comment