Askari kanzu (kulia), akimpeleka kituo cha Polisi Kati, kijana aliyedhaniwa kumkwapua mtu aliyetoka benki ya NBC katika ya Jiji mpita njia fedha zilizotajwa kufikia sh. mil. 5, maeneo ya Mtaa wa Samora, Dar es Salaam akiwa na wenzake ambao walifanikiwa kukimbia na fedha hizo. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)
Biashara : EAC Kuendelea kuimarisha Mfumo wa Kurahisisha Biashara za
Mipakani
-
Na Oscar Assenga,MKINGA
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imeeleza itaendelea kuimarisha
utekelezaji wa Mfumo Rahisi wa Biashara (Simplified Trade Regim...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment