Leo
natambulisha ngoma yangu mpya ndani ya xxl clouds fm.. Mpaka Kuchee fit
Diamond, Ay n Dully Sykes... Leo kuanzia 8mchana. Nimefanya kazi ambayo ni
special kwa Mashabiki wangu. Watu wangu tu. Asante
KUJENGA UTAALAMU: TAEC YAWAFUNDISHA WATAALAMU 50 KUHUSU USALAMA WA MIONZI
KATIKA SEKTA YA AFYA
-
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imefanikisha kuendesha mafunzo ya
kitaifa ya siku nne kuhusu usalama wa mionzi ya mashine za X-Ray na vyanzo
vingin...
6 hours ago


No comments:
Post a Comment