Kiungo wa Manchester United, Jesse Lingard akiondoka kwa msaada wa magongo kutoka hospitali ya Bridgewater, ambako alikwenda kutibiwa mguu wake wa kulia baada ya kuumia juzi katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Swansea City Uwanja wa Old Trafford. United ilifungwa 2-1 na beki huyo anaungana na majeruhi wengine wa klabu hiyo mwanzoni mwa msimu, Jonny Evans, Rafael, Luke Shaw, Antonio Valencia, Danny Welbeck, Anderson na Michael Carrick.
Shule ya Sekondari Viwandani yamshukuru Mbunge Mavunde kuboresha
miundombinu ya Elimu
-
Na. Faraja Mbise, VIWANDANI
Uongozi wa Shule ya Sekondari Viwandani wamshukuru Mbunge wa Dodoma Mjini,
Anthony Mavunde kwa kuboresha miundombinu ya shul...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment