Basi la SkyLine linalofanya Safari zake katika ya Mbeya na Dodoma limepinduka katika eneo la Mlima Nyoka Majira ya Saa moja Kaso za Asubuhi leo. Taarifa za awali zinasema kuwa Hakuna Aliyepoteza maisha katika Ajali hiyo na baadhi ya abiria wachache ndo wamepata majeraha sehemu mbalimbali za miili. Picha zaidi zitakujia Hivi Punde
Tunaendelea kuwajuza zaidi kadri mdau wetu ambae pia alikuwa katika ajali hiyo atakavyozidi kutupa Habari.Picha na Tumaini Daudi wa Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment