.
Oklahoma City Thunder wamemuuza Hasheem Thabeet kwa timu ya Philadelphia 76ers
Vyanzo vinadai kuwa mabadilishano hayo yaliyofanyika Jumanne hii yataifanya Sixers kupata kile kiitwacho ‘cash considerations’ kuchukua mkataba wa Thabeet. Sixers, wanadaiwa kuwa watamwacha
Thabeet mapema na Oklahoma City itaokoa kiasi cha dola milioni 1.25 kwa kumuuza Thabeet bila kuchukua mshahara wowote.
Thabeet hatarajiwi kuwa na Sixers zaidi ya mwezi huu.
Thabeet, aliyeingia NBA mwaka 2009 akitokea UConn, amekuwa na wastanii wa points 2.2 na 2.7 rebounds kwa kila mchezo katika misimu mitano akiwa na Memphis Grizzlies, Houston Rockets, Portland Trail Blazers na Thunder.
Ufafanuzi!
What do the Sixers gain? Cash and good will. It works financially for them because Thabeet has a non-guaranteed contract, so they will not be on the hook for his salary after waiving him. And GM Sam Hinkie is essentially doing the Thunder a favor that may aid his own team in the future.
Stanbic yazidi kuimarisha nafasi yake kwenye masoko ya mitaji kupitia Sukuk
ya CRDB
-
*Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.*
*Benki ya Stanbic imethibitisha tena nafasi yake kama mdau muhimu na
mshirika wa kuaminika katika masoko ya mitaji nc...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment