Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, August 23, 2014

TETESI::DI MARIA NA SAMI KWENYE JICHO LA MANCHESTER.....

 Wote kwenye rada: Angel Di Maria (kushoto) na Sami Khedira wanatakiwa na Manchester United.
MANCHESTER United bado wanapambana kuhakikisha wanawasajili nyota wawili wa Real Madrid, Muargentina, Angel di Maria na Mjerumani Sami Khedira.

Habari njema kwa mashabiki wa United ni kwamba makamu mwenyekiti wa klabu hiyo, Ed Woodward anapigana kuwasajili wachezaji hao kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti alisema jumanne kuwa Di Maria na Khedira wanaweza kuondoka.Di Maria amekuwa katika rada za Louis Van Gaal kwa majira yote ya kiangazi wakati Khedira alimuona wakati anafundisha soka nchini Ujerumani.
Anawindwa: Di Maria ndiye chaguo namba moja la Louis van Gaal na Manchester United majira haya ya kiangazi
 wanawasajili nyota wawili wa Real Madrid, Muargentina, Angel di Maria na Mjerumani Sami Khedira.

Habari njema kwa mashabiki wa United ni kwamba makamu mwenyekiti wa klabu hiyo, Ed Woodward anapigana kuwasajili wachezaji hao kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti alisema jumanne kuwa Di Maria na Khedira wanaweza kuondoka.Di Maria amekuwa katika rada za Louis Van Gaal kwa majira yote ya kiangazi wakati Khedira alimuona wakati anafundisha soka nchini Ujerumani.

No comments:

Post a Comment