Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina...
.lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World..
AMVUNJA MBAVU MKE WAKE KWA WIVU WA MAPENZI
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamsaka Hamidu Abdalah kwa kosa la
kumjeruhi kwa kumpiga na chaga ya kitanda mke wake Amina Athuman Said 40,
mkazi wa Likon...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment